Sunday, 27 July 2014

WAISLAMU WAADHIMISHA IJUMAA YA MWISHO YA RAMADHAN

Waislamu kote ulimwenguni wameadhimisha ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa ramadhan , na mapema hapo jana gavana wa kaunti ya Tana River Hussein dhado alijumuika na wakaazi wa kaunti hiyo kwa chakula cha iftar huku akitoa hakikisho la usalama katika eneo la tanariver. mwanahabari hamza yusssuf alipata fursa ya kujiunga nao
Na wanafunzi waislamu katika  shule ya kiufundi cha Mombasa waliandalia waislamu chakula cha iftaar kuashiria kuwa ni ijumaa ya mwisho ya mwezi huu mtukufu wa Ramadhan

No comments:

Post a Comment